accrediaation to bin zubeiry...
kocha wa club ya Dar young africcans mholanzi Hans da Van Pluijm amsema kuna hati hati ya kumkosa kepten Nadir cannavaro aktika mechi ya jumamosi dhid ya BDF XI ya Botswana katika mchezo wa kombe la shirikisho mzunguko wa kwanza
utakofanyika hapa Tanzania jijini Dar, siku ya jumamosi ya wiki hii ya tarehe 14 february,hii ni kutokana na maumivu ya goti.kocha wa club ya Dar young africcans mholanzi Hans da Van Pluijm amsema kuna hati hati ya kumkosa kepten Nadir cannavaro aktika mechi ya jumamosi dhid ya BDF XI ya Botswana katika mchezo wa kombe la shirikisho mzunguko wa kwanza
kocha huyo wa Yanga amesema kuwa timu yake safi ipo tayri kuvaana na wabotswana hao wenye makazi yao katika jiji maarufu la Gaborone.

Comments
Post a Comment